Isaiah 48:17


17 aHili ndilo asemalo Bwana,
Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli:
“Mimi ni Bwana, Mungu wako,
nikufundishaye ili upate faida,
nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea.
Copyright information for SwhNEN